MSONGOLA HEALTH TRAINING INSTITUTE. Chuo kimesajiliwa na NACTE REG/HAS/178P Chuo kinatangaza nafasi za masoma kwa mwaka wa masomo 2018/2019 Kozi zitolewazo ni:- 1.Basic techinician certificate in clinical medicine NTA Level 4 2.Technician certificate in clinical medicine NTA Level 5 3.Ordinary diploma in clinical medicine NTA level 6 SIFA ZA MUOMBAJI. -Awe amemaliza kidato cha NNE na awe na ufauru katika masomo ya sayansi angalau physics -D chemistry -D Biology -D basic mathematics -D (CERTIFICATE ) - Kwa wale walio hitimu kidato cha sita Wataanza na DIPLOMA NTA level 6 Chuo kina HOSTEL kwa wavulana na wasichana kwa wale wote wanao toka mikoa ya mbali . CHUO KIPO MKOA WA DAR-ES - SALAAM WILAYA YA ILALA KINA MAZINGIRA MAZURI NA VIFAA VYA KISASA KWA KUFUNDISHIA PIA USAFIRI KWA WANAFUNZI WOTE. ...
Posts
Showing posts from July, 2018